2 Wafalme 24:2
2 Wafalme 24:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mwenyezi-Mungu akampelekea makundi ya Wababuloni, Waaramu, Wamoabu na Waamoni washambulie nchi ya Yuda na kuiharibu, kulingana na neno la Mwenyezi-Mungu alilolisema kwa watumishi wake manabii.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 242 Wafalme 24:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye BWANA akatuma juu yake vikosi vya Wakaldayo, na vikosi vya Washami, na vikosi vya Wamoabi, na vikosi vya wana wa Amoni, akawatuma juu ya Yuda ili kuiharibu, sawasawa na neno la BWANA alilolinena kwa mkono wa watumishi wake manabii.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 242 Wafalme 24:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye BWANA akatuma juu yake vikosi vya Wakaldayo, na vikosi vya Washami, na vikosi vya Wamoabi, na vikosi vya wana wa Amoni, akawatuma juu ya Yuda ili kuiharibu, sawasawa na neno la BWANA alilolinena kwa mkono wa watumishi wake manabii.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 24