2 Wafalme 24:1
2 Wafalme 24:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Nebukadneza mfalme wa Babuloni aliishambulia Yuda. Yehoyakimu, alimtumikia kwa miaka mitatu halafu aliacha kumtii, akamwasi.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 242 Wafalme 24:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika siku zake akakwea Nebukadneza, mfalme wa Babeli, na Yehoyakimu akawa mtumishi wake muda wa miaka mitatu; kisha, akageuka, akamwasi.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 24