2 Wafalme 20:9
2 Wafalme 20:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Isaya akamjibu, “Hii itakuwa ishara kwako kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, kwamba Mwenyezi-Mungu atafanya kama alivyoahidi: Je, kivuli kiende hatua kumi mbele au nyuma?”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 202 Wafalme 20:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Isaya akamwambia, Jambo hili litakuwa ishara kwako, itokayo kwa BWANA, ya kwamba BWANA atalifanya neno hilo alilolinena; je! Kivuli kiendelee madaraja kumi, au kirudi nyuma madaraja kumi?
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 20