2 Wafalme 20:3
2 Wafalme 20:3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ee Mwenyezi-Mungu, nakusihi ukumbuke jinsi nilivyokutumikia kwa uaminifu na kwa moyo wangu wote na kutenda yaliyo sawa mbele yako.” Hezekia akalia kwa uchungu sana.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 202 Wafalme 20:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nakusihi, BWANA, ukumbuke sasa, jinsi nilivyokwenda mbele zako katika kweli na kwa moyo mkamilifu, na kutenda yaliyo mema machoni pako. Hezekia akalia sana sana.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 20