2 Wafalme 2:8
2 Wafalme 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Elia akalivua vazi lake, akalikunja na kuyapiga maji, maji yakagawanyika katika sehemu mbili, nao wakavuka hadi ngambo ya pili, wakapitia mahali pakavu.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 22 Wafalme 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Eliya akalitwaa vazi lake la juu, akalikunja, akayapiga maji, yakagawanyika huku na huku, na hao wawili wakavuka pakavu.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 2