2 Wafalme 2:2
2 Wafalme 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye walipokuwa njiani, Elia alimwambia Elisha, “Tafadhali wewe kaa hapa; Mwenyezi-Mungu amenituma niende Betheli.” Lakini Elisha akamwambia, “Naapa kwamba kama Mwenyezi-Mungu aishivyo na kama wewe mwenyewe uishivyo, sitakuacha.” Basi, wakaenda pamoja hadi Betheli.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 22 Wafalme 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Eliya akamwambia Elisha, Tafadhali, kaa hapa; maana BWANA amenituma niende mpaka Betheli.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 2