2 Wafalme 2:11
2 Wafalme 2:11 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Walipokuwa wakitembea pamoja na kuzungumza, ghafula gari la farasi la moto na farasi wa moto vilitokea na kuwatenganisha wao wawili, naye Eliya akapanda mbinguni katika upepo wa kisulisuli.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 22 Wafalme 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipokuwa wanatembea na kuongea, ghafla, gari la moto likatokea pamoja na farasi wa moto; likawatenganisha; naye Elia akachukuliwa mbinguni katika kisulisuli.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 22 Wafalme 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, walipokuwa wakiendelea mbele na kuongea, tazama! Kukatokea gari la moto, na farasi wa moto, likawatenga wale wawili; naye Eliya akapanda mbinguni kwa upepo wa kisulisuli.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 2