2 Wafalme 2:1
2 Wafalme 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ikawa wakati ulipofika ambapo Mwenyezi-Mungu alitaka kumchukua Elia mbinguni katika upepo wa kisulisuli, Elia na Elisha walikuwa njiani, wakitoka Gilgali.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 22 Wafalme 2:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, hapo BWANA alipokuwa karibu kumchukua Eliya mbinguni kwa upepo wa kisulisuli, Eliya alitoka Gilgali pamoja na Elisha.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 2