2 Wafalme 19:15
2 Wafalme 19:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Halafu akamwomba Mwenyezi-Mungu akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, unayekaa katika kiti cha enzi juu ya viumbe wenye mabawa, ni wewe tu uliye Mungu, unayetawala falme zote za ulimwengu. Wewe uliumba nchi na mbingu.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 192 Wafalme 19:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Hezekia akaomba mbele za BWANA, akasema, Ee BWANA, Mungu wa Israeli, ukaaye juu ya makerubi, wewe, naam, wewe peke yako, ndiwe Mungu wa falme zote za dunia; wewe ndiwe uliyeziumba mbingu na nchi.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 19