2 Wafalme 16:6
2 Wafalme 16:6 Biblia Habari Njema (BHN)
(Wakati huo, mfalme wa Edomu aliuteka akawarudishia Waedomu mji wa Elathi na kuwafukuza watu wa Yuda waliokaa humo. Nao Waedomu wakaingia Elathi na kufanya makao yao huko mpaka sasa.)
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 162 Wafalme 16:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakati huo Resini mfalme wa Shamu akawarudishia Washami Elathi, akawafukuza Wayahudi kutoka Elathi; nao Washami wakaja Elathi, wakakaa humo hata leo.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 16