2 Wafalme 14:29
2 Wafalme 14:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeroboamu alifariki na kuzikwa katika makaburi ya kifalme na mwanawe Zekaria akatawala mahali pake.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 142 Wafalme 14:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeroboamu akalala na babaze, yaani, na wafalme wa Israeli. Na Zekaria mwanawe akatawala mahali pake.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 14