2 Wafalme 14:12
2 Wafalme 14:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wa Yuda walishindwa na watu wa Israeli na kila mmoja alirudi kwake.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 142 Wafalme 14:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yuda wakashindwa mbele ya Israeli; wakakimbia kila mtu hemani kwake.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 14