2 Wafalme 12:19 - Compare All Versions
2 Wafalme 12:19 BHN (Biblia Habari Njema)
Matendo mengine yote ya mfalme Yoashi yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati za Wafalme wa Yuda.
Shirikisha
2 Wafalme 12 BHN2 Wafalme 12:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mambo yote ya Yoashi yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?
Shirikisha
2 Wafalme 12 SUV2 Wafalme 12:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi mambo yote ya Yoashi yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda?
Shirikisha
2 Wafalme 12 SRUV2 Wafalme 12:19 NEN (Neno)
Kuhusu matukio mengine ya utawala wa Yoashi na yote aliyoyafanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda?
Shirikisha
2 Wafalme 12 NEN