Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 12:15 - Compare All Versions

2 Wafalme 12:15 BHN (Biblia Habari Njema)

Wafanyakazi waliosimamia kazi hii walikuwa waaminifu kabisa, kwa hiyo hapakuwa na haja ya kuwataka watoe hesabu ya matumizi ya fedha hizo.

2 Wafalme 12:15 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Walakini hawakufanya hesabu na hao watu, waliokabidhiwa fedha hiyo ili wawape watenda kazi; kwa kuwa walitenda kwa uaminifu.

2 Wafalme 12:15 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Walakini hawakufanya hesabu na hao watu, waliokabidhiwa fedha hiyo ili wawape watenda kazi; kwa kuwa walitenda kwa uaminifu.

2 Wafalme 12:15 NEN (Neno)

Wao hawakudai hesabu ya fedha kutoka kwa wale waliowapa ili kuwalipa wafanyakazi, kwa sababu walifanya kwa uaminifu wote.