2 Wafalme 11:7
2 Wafalme 11:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Yale makundi mawili ambayo humaliza zamu yao siku ya Sabato yatashika zamu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kumlinda mfalme.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 112 Wafalme 11:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na sehemu mbili zenu, yaani, wote watokao siku ya sabato, mtayalinda malinzi ya nyumba ya BWANA kumzunguka mfalme.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 11