2 Wafalme 1:8
2 Wafalme 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wao wakamjibu, “Alikuwa amevaa vazi la manyoya na mshipi wa ngozi kiunoni.” Mfalme akasema, “Huyo ni Elia kutoka Tishbe!”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 12 Wafalme 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakamwambia, Alikuwa amevaa vazi la manyoya, tena amejifunga shuka ya ngozi kiunoni mwake. Naye akasema, Ndiye yule Eliya Mtishbi.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 1