2 Wafalme 1:4
2 Wafalme 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwambieni mfalme kwamba Mwenyezi-Mungu amesema hivi: ‘Hutashuka katika kitanda ulichokipanda; hakika utakufa!’”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 12 Wafalme 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa, BWANA asema hivi, Hutashuka katika kile kitanda ulichokipanda, bali hakika utakufa. Eliya akaondoka.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 1