2 Wafalme 1:3
2 Wafalme 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia nabii Elia kutoka Tishbe, aende kukutana na wajumbe hao na kuwauliza, “Kwa nini mnakwenda kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni? Je, hakuna Mungu nchini Israeli?
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 12 Wafalme 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini malaika wa BWANA akamwambia Eliya Mtishbi, Ondoka, uende ukaonane na wale wajumbe wa mfalme wa Samaria, ukawaambie, Je! Ni kwa sababu hakuna Mungu katika Israeli, hata mnakwenda kuuliza kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni?
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 12 Wafalme 1:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini malaika wa BWANA akamwambia Eliya Mtishbi, Ondoka, uende ukaonane na wale wajumbe wa mfalme wa Samaria, ukawaambie, Je! Ni kwa sababu hapana Mungu katika Israeli, hata mnakwenda kuuliza kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni?
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 1