2 Wafalme 1:2
2 Wafalme 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Ahazia alipokuwa Samaria alianguka kutoka chumba kilichokuwa paani mwa nyumba yake, akaumia vibaya. Kwa hiyo akawatuma wajumbe, akawaambia, “Nendeni kwa Baal-zebubu, mungu wa mji wa Ekroni, mkamwulize kama nitapona ugonjwa huu.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 12 Wafalme 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Ahazia akaanguka kutoka dirisha la chumba chake ghorofani, katika Samaria, akaugua; akatuma wajumbe, akawaambia, Nendeni mkaulize kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni, kama nitapona ugonjwa huu.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 1