2 Wakorintho 9:7
2 Wakorintho 9:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mmoja, basi, na atoe kadiri alivyoamua, kwa moyo na wala si kwa huzuni au kwa kulazimishwa, maana Mungu humpenda yule mwenye kutoa kwa furaha.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 92 Wakorintho 9:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo mkunjufu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 92 Wakorintho 9:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 9