2 Wakorintho 9:13
2 Wakorintho 9:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kutokana na uthibitisho unaooneshwa kwa huduma hii yetu, watu watamtukuza Mungu kwa sababu ya uaminifu wenu kwa Habari Njema ya Kristo mnayoiungama, na pia kwa sababu ya ukarimu mnaowapa wao na watu wote.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 92 Wakorintho 9:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa kuwa mkijaribiwa kwa utumishi huo, wanamtukuza Mungu kwa ajili ya utii wenu katika kuikiri Injili ya Kristo, na kwa ajili ya ukarimu wenu mliowashirikisha wao na watu wote.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 9