2 Wakorintho 8:2
2 Wakorintho 8:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Waumini wa huko walijaribiwa sana kwa taabu; lakini furaha yao ilikuwa kubwa hivi hata wakawa wakarimu kupita kiasi, ingawaje walikuwa maskini sana.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 82 Wakorintho 8:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
maana walipokuwa wakijaribiwa kwa dhiki nyingi, wingi wa furaha yao na umaskini wao uliokuwa mwingi uliwaongezea utajiri wa ukarimu wao.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 8