2 Wakorintho 7:9
2 Wakorintho 7:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa nafurahi, si kwa sababu mmehuzunika, ila kwa kuwa huzuni yenu imewafanya mbadili nia zenu na kutubu. Mmehuzunishwa kadiri ya mpango wa Mungu, na kwa sababu hiyo hatukuwadhuru nyinyi kwa vyovyote.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 72 Wakorintho 7:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sasa nafurahi, si kwa sababu ya ninyi kuhuzunishwa, bali kwa sababu mlihuzunishwa, hata mkatubu. Maana mlihuzunishwa kwa jinsi ya Mungu, ili msipate hasara kwa tendo letu katika neno lolote.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 7