2 Wakorintho 7:1
2 Wakorintho 7:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wapenzi wangu, tukiwa tumepewa ahadi hizi zote, na tujitakase na chochote kiwezacho kuchafua miili na roho zetu, tuwe watakatifu kabisa na kuishi kwa kumcha Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 72 Wakorintho 7:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu kutoka kwa uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 72 Wakorintho 7:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 7