2 Wakorintho 6:12-13
2 Wakorintho 6:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama mnaona kuna kizuizi chochote kile, kizuizi hicho kiko kwenu nyinyi wenyewe, na si kwa upande wetu. Sasa nasema nanyi kama watoto wangu: Wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 62 Wakorintho 6:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hamsongwi ndani yetu, bali mwasongwa katika mioyo yenu. Basi, ili mlipe kadiri ile mliyopewa (nasema nanyi kama na watoto), nanyi pia mkunjuliwe mioyo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 6