2 Wakorintho 5:6-7
2 Wakorintho 5:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Tuko imara daima. Tunajua kwamba kuishi katika mwili huu tu ni kukaa mbali na Bwana. Maana tunaishi kwa imani, na si kwa kuona.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 52 Wakorintho 5:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi siku zote tuna moyo mkuu; tena twajua ya kuwa, wakati tuwapo hapa katika mwili, tunakaa mbali na Bwana. (Maana twaenenda kwa imani, si kwa kuona.)
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 52 Wakorintho 5:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi siku zote tuna moyo mkuu; tena twajua ya kuwa, wakati tuwapo hapa katika mwili, tunakaa mbali na Bwana. (Maana twaenenda kwa imani, si kwa kuona.)
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 5