2 Wakorintho 5:17
2 Wakorintho 5:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu yeyote akiungana na Kristo huwa kiumbe kipya, mambo ya kale yamepita, hali mpya imefika.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 52 Wakorintho 5:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama! Yamekuwa mapya.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 52 Wakorintho 5:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 5