2 Wakorintho 13:3
2 Wakorintho 13:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtajionea wenyewe kwamba Kristo anasema ndani yangu. Kwenu Kristo si dhaifu; bali nguvu yake yafanya kazi miongoni mwenu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 132 Wakorintho 13:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa kuwa mnatafuta dalili ya Kristo, asemaye ndani yangu, ambaye si dhaifu kwenu, bali ana uweza ndani yenu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 13