2 Wakorintho 12:19
2 Wakorintho 12:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Labda mnafikiri kwamba mpaka sasa tumekuwa tukijitetea wenyewe mbele yenu! Lakini, tunasema mambo haya mbele ya Mungu, tukiwa tumeungana na Kristo. Mambo hayo yote, wapenzi wangu, ni kwa ajili ya kuwajenga nyinyi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 122 Wakorintho 12:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mnadhani hata sasa ya kuwa najitetea kwenu! Mbele za Mungu twanena katika Kristo. Na hayo yote, wapenzi, ni kwa ajili ya kuwajenga ninyi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12