2 Wakorintho 12:18
2 Wakorintho 12:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nilimwita Tito, nikamtuma kwenu na ndugu yetu mwingine. Je, Tito aliwanyonyeni? Je, hamjui kwamba sisi tumekuwa tukiongozwa na roho yuleyule, na mwenendo wetu ni mmoja?
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 122 Wakorintho 12:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nilimwonya Tito, nikamtuma ndugu yule pamoja naye. Je! Tito aliwatoza kitu? Je! Hatukuenenda kwa Roho yeye yule na katika nyayo zile zile?
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12