2 Wakorintho 12:15
2 Wakorintho 12:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ni radhi kabisa kutumia nilicho nacho, na hata kujitolea mimi mwenyewe kabisa, kwa faida ya roho zenu. Je, mtanipenda kidogo ati kwa kuwa mimi nawapenda nyinyi mno?
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 122 Wakorintho 12:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitakuwa radhi kutumia na kutumiwa kwa ajili yenu. Je! Kadiri nizidivyo kuwapenda sana, ninapungukiwa kupendwa?
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12