Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 10:3 - Compare All Versions

2 Wakorintho 10:3 BHN (Biblia Habari Njema)

Kweli tunaishi duniani, lakini hatupigani vita kidunia.

2 Wakorintho 10:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili

2 Wakorintho 10:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili

2 Wakorintho 10:3 NEN (Neno)

Ingawa tunaishi duniani, hatupigani vita kama ulimwengu ufanyavyo.