2 Mambo ya Nyakati 6:41
2 Mambo ya Nyakati 6:41 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa inuka ee Bwana Mungu, uingie mahali pako pa kupumzika wewe pamoja na sanduku la agano la nguvu zako. Makuhani wako ee Bwana Mungu, wapate wokovu, na watakatifu wako wafurahie wema wako.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 62 Mambo ya Nyakati 6:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sasa, Ee BWANA, Mungu, uondoke, uende kwenye raha yako, wewe na sanduku la nguvu zako; makuhani wako, Ee BWANA, Mungu, wavikwe wokovu, watakatifu wako na washangilie mema.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 6