2 Mambo ya Nyakati 22:12
2 Mambo ya Nyakati 22:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye alikaa nao kwa muda wa miaka sita akiwa amefichwa ndani ya nyumba ya Mungu wakati Athalia alipokuwa akitawala nchi.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 222 Mambo ya Nyakati 22:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawako pamoja nao, amefichwa nyumbani mwa Mungu, miaka sita. Na Athalia akaitawala nchi.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 22