2 Mambo ya Nyakati 22:10
2 Mambo ya Nyakati 22:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara Athalia, mamake Ahazia, alipoona kuwa mwanawe ameuawa, alitoka akaangamiza jamii yote ya kifalme ya Yuda.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 222 Mambo ya Nyakati 22:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Athalia, mama wa Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaangamiza jamaa yote ya kifalme ya nyumba ya Yuda.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 22