2 Mambo ya Nyakati 20:7
2 Mambo ya Nyakati 20:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni wewe ee Mungu wetu, uliyewafukuza wenyeji wa nchi hii wakati watu wako Israeli walipoingia katika nchi hii, ukawapa wazawa wa Abrahamu rafiki yako, iwe yao milele.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 202 Mambo ya Nyakati 20:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Si wewe, Ee Mungu wetu, uliyewafukuza wenyeji wa nchi hii mbele ya watu wako Israeli, ukawapa wazao wa Abrahamu rafiki yako hata milele?
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 20