2 Mambo ya Nyakati 18:19
2 Mambo ya Nyakati 18:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akauliza, ‘Ni nani atakayemshawishi Ahabu mfalme wa Israeli aende akaangamie huko Ramoth-gileadi?’ Kila mmoja akajibu alivyofikiri.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 182 Mambo ya Nyakati 18:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu mfalme wa Israeli, ili akwee Ramoth-gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 18