2 Mambo ya Nyakati 18:13
2 Mambo ya Nyakati 18:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mikaya akamjibu, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo, kile atakachoniambia Mungu wangu, ndicho nitakachosema.”
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 182 Mambo ya Nyakati 18:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mikaya akasema, Kama aishivyo BWANA, neno lile atakalolinena Mungu wangu, ndilo nitakalolinena.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 18