2 Mambo ya Nyakati 17:5
2 Mambo ya Nyakati 17:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa hiyo BWANA akauthibitisha ufalme mkononi mwake; Yehoshafati akaletewa zawadi na Yuda wote; basi akawa na mali na heshima tele.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 172 Mambo ya Nyakati 17:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, aliuimarisha ufalme wa Yuda mikononi mwa Yehoshafati, nao watu wote wakamletea zawadi, akatajirika sana na kuheshimika.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 172 Mambo ya Nyakati 17:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo BWANA akauthibitisha ufalme mkononi mwake; Yehoshafati akaletewa zawadi na watu wote wa Yuda; basi akawa na mali na heshima tele.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 17