2 Mambo ya Nyakati 14:8
2 Mambo ya Nyakati 14:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Asa alikuwa na jeshi la askari 300,000 kutoka Yuda, wenye ngao na mikuki, na wengine 280,000 kutoka Benyamini, wenye ngao na pinde. Wote walikuwa watu mashujaa sana.
2 Mambo ya Nyakati 14:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Asa alikuwa na jeshi waliochukua ngao na mikuki, katika Yuda elfu mia tatu; na katika Benyamini wenye kuchukua vigao na kupinda upinde, elfu mia mbili na themanini; hao wote walikuwa mashujaa.
2 Mambo ya Nyakati 14:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye Asa alikuwa na jeshi waliochukua ngao na mikuki, katika Yuda mia tatu elfu; na katika Benyamini wenye kuchukua vigao na kupinda upinde, mia mbili na themanini elfu; hao wote walikuwa mashujaa.
2 Mambo ya Nyakati 14:8 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Asa alikuwa na jeshi la watu elfu mia tatu kutoka Yuda, wenye ngao kubwa na mikuki, na jeshi la watu elfu mia mbili na themanini kutoka Benyamini, wenye ngao ndogo na pinde. Watu hawa wote walikuwa wapiganaji hodari.