2 Mambo ya Nyakati 14:6
2 Mambo ya Nyakati 14:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Alijenga miji yenye ngome katika Yuda wakati huo wa amani, na kwa muda wa miaka kadhaa, hapakutokea vita kwa maana Mwenyezi-Mungu alimpa amani.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 142 Mambo ya Nyakati 14:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akajenga miji yenye maboma katika Yuda; kwa kuwa nchi ilikuwa imestarehe, wala hakuwa na vita miaka ile; kwa sababu BWANA alimpa amani.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 14