2 Mambo ya Nyakati 14:5
2 Mambo ya Nyakati 14:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Pia aliondoa mahali pote pa kuabudia miungu mingine na meza za kufukizia ubani kutoka katika miji yote ya Yuda; halafu ufalme wake ulikuwa na amani chini ya utawala wake.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 142 Mambo ya Nyakati 14:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena akaondoa kutoka miji yote ya Yuda mahali pa juu na sanamu za jua; ufalme ukastarehe mbele yake.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 14