2 Mambo ya Nyakati 14:14
2 Mambo ya Nyakati 14:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Liliharibu miji yote iliyokuwa kandokando ya Gerari, kwa kuwa watu waliokuwamo katika miji hiyo waliingiwa na hofu ya Mwenyezi-Mungu. Jeshi lilichukua mali nyingi kutoka katika miji hiyo kwa sababu kulikuwamo mali nyingi sana.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 142 Mambo ya Nyakati 14:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakaipiga miji yote kandokando ya Gerari; maana hofu ya BWANA ikawajia; nao wakaiteka nyara miji yote, kwa maana zilikuwamo ndani yake nyara nyingi mno.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 14