2 Mambo ya Nyakati 1:6
2 Mambo ya Nyakati 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Solomoni alipanda mbele ya madhabahu ya shaba iliyokuwa kwenye hema la mkutano. Hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akatoa tambiko 1,000 za kuteketezwa juu ya madhabahu hayo.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 12 Mambo ya Nyakati 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sulemani akaipandia huko madhabahu ya shaba mbele za BWANA, iliyokuwako hemani pa kukutania, akatoa sadaka elfu moja za kuteketezwa juu yake.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 1