2 Mambo ya Nyakati 1:10
2 Mambo ya Nyakati 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, nakuomba unipe hekima na maarifa ili niweze kuwatawala watu wako vizuri. La sivyo, nitawezaje kuwatawala hawa watu wako walio wengi hivi?”
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 12 Mambo ya Nyakati 1:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwatawala watu wako hawa walio wengi?
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 1