1 Timotheo 6:9
1 Timotheo 6:9 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Lakini wale watu wanaotamani kuwa na mali kwa haraka huanguka kwenye majaribu, na wamenaswa na tamaa nyingi za kipumbavu zenye kudhuru, zinazowazamisha watu katika uharibifu na maangamizi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wale wanaotaka kutajirika huanguka katika majaribu, na kunaswa katika mtego wa tamaa nyingi mbaya za kipumbavu, ambazo huwavuta mpaka kwenye uharibifu na maangamizi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini hao watakao kuwa na mali huanguka katika majaribu na mtego, na tamaa nyingi zisizo na maana, zenye kudhuru, zinazowaingiza watu katika upotevu na uharibifu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 6