1 Timotheo 6:6-8
1 Timotheo 6:6-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli kumcha Mungu humfanya mtu awe tajiri sana, ikiwa anatosheka na vitu alivyo navyo. Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala hatutachukua chochote. Kwa hiyo basi, kama tunacho chakula na mavazi, tunapaswa kuridhika navyo.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:6-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini utauwa pamoja na kuridhika ni faida kubwa. Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena hatuwezi kutoka na kitu; ila tukiwa na chakula na nguo tutaridhika na vitu hivyo.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 6