1 Timotheo 6:6
1 Timotheo 6:6 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Lakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Walakini utauwa pamoja na kuridhika ni faida kubwa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli kumcha Mungu humfanya mtu awe tajiri sana, ikiwa anatosheka na vitu alivyo navyo.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini utauwa pamoja na kuridhika ni faida kubwa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 6