1 Timotheo 6:4
1 Timotheo 6:4 Biblia Habari Njema (BHN)
huyo amejaa majivuno na wala hajui chochote. Ni mtu wa kupenda ubishi na magombano juu ya maneno matupu, na hiyo husababisha wivu, ugomvi, matusi, shuku mbaya
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
amejivuna; wala hafahamu neno lolote; bali ana wazimu wa kuwazia habari za maswali, na mashindano ya maneno, ambayo katika hayo hutoka husuda, na ugomvi, na matusi, na shuku mbaya
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 6