1 Timotheo 6:14-15
1 Timotheo 6:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
nakuamuru ushike maagizo yako na kuyatii kwa uaminifu mpaka siku ile atakapotokea Bwana wetu Yesu Kristo. Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana.
1 Timotheo 6:14-15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwamba uilinde amri hii pasipo mawaa, pasipo lawama, hata kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo; ambako yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye aliyehimidiwa, Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana

1 Timotheo 6:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwamba uilinde amri hii pasipo mawaa, pasipo lawama, hata kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo; ambako yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye aliyehimidiwa, Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana
1 Timotheo 6:14-15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwamba uilinde amri hii pasipo mawaa, pasipo lawama, hata kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo; ambako yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye aliyehimidiwa, Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana
1 Timotheo 6:14-15 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
uishike amri hii bila dosari wala lawama hadi kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo; ambako Mungu atadhihirisha kwa wakati wake mwenyewe: Mungu ahimidiwaye, aliye peke yake Mtawala, Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana